The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Popote alipendwa sana na ushawishi mkubwaGT.
Huyu jamaa alikuwa smart sana na wala hakuwa na mbwembwe. He was slow but sure.
Kama siyo mambo.ya ukabila huyu jamaa alipaswa kuwa Rais wa kenya.
View attachment 3490151
Mtu akishafariki sisi waafrika ndiyo hujitokeza na kuandika ''mazuri'' yake na kujaribu kuongeza sifa ambazo pengine wala hakuwa nazo.Mwanasiasa mpinzani bora aliyependwa zaidi.. Wapi!?,Kenya!?,East Africa!?.. Africa !?, muwe mnasoma thread zenu kabla kupost.