VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Mhhhhhh!!! Sheria zitatungwa vipi na wanasheria wakati hawakuchaguliwa na wananchi? Na Je, Haki yako ikichakachuliwa, unaenda kulalamika wapi? Je utarudi kulekule kwa wanasheria?
Mhhhhhh!!! Sheria zitatungwa vipi na wanasheria wakati hawakuchaguliwa na wananchi? Na Je, Haki yako ikichakachuliwa, unaenda kulalamika wapi? Je utarudi kulekule kwa wanasheria?
mkuu unapoteza muda wako hapa
Mhhhhhh!!! Sheria zitatungwa vipi na wanasheria wakati hawakuchaguliwa na wananchi? Na Je, Haki yako ikichakachuliwa, unaenda kulalamika wapi? Je utarudi kulekule kwa wanasheria?
MKUU, HII HAINA TOFAUTI NA KWAMBA WABUNGE WAWE WALIMU! Maana BAADHI YA WABUNGE HAWANA UTAALAMU NA MAMBO YA SHERIA! mi NADHANI SHERIA INAVAMIWA SANA MAANA KUNA WATU WANA UWELEDI WA SHERIA NA HAWA WANAJUA KABISA SHERIA, HAYA SASA MBUNGE MAY BE KAMALIZA FORM FOUR NA HAKUFAULU VIZURI, THEN NDO ATUNGE
Sheria zinaandaliwa na wanasheria (Draft) kisha zinapitiwa na jopo la wataalam wa sheria kwa State Draftsman ns kufuata utarstibu wake na kuwa MUSWADA wa SHERIA ndio wanapelekewa wabunge kwa mjadala na kuipitisha baada ya kupata nafasi ya kupitia kifungu baada ya kifungu. Bunge likiridhika na kuipitisha itapelekwa kwa Rais ili aitie saini (ASSENT) na kuwa sheria baada ya kukamilisha mchakato wa Kanuni na kutangazwa kwake kwa Gazeti la Serikali. Wabunge wanatunga sheria INDIRECTLY isipokuwa kiuhalisia WANAPITSHA SHERIA.