Nachinguru Member Joined Jul 7, 2016 Posts 24 Reaction score 5 May 12, 2018 #1 Ktk katiba pendezwa spika na naibu wake wasitokane na wabunge wa kuteuliwa. Napendekeza watokane na Wabunge wa Majimbo au Wananchi waombe. Hili litaondowa dhana ya kulipa fadhila kama viongozi hawa watatokana na Wabunge teule. Changia tafadhali!!
Ktk katiba pendezwa spika na naibu wake wasitokane na wabunge wa kuteuliwa. Napendekeza watokane na Wabunge wa Majimbo au Wananchi waombe. Hili litaondowa dhana ya kulipa fadhila kama viongozi hawa watatokana na Wabunge teule. Changia tafadhali!!