Katika katika ya umeme Dar wahusika mko wapi

Katika katika ya umeme Dar wahusika mko wapi

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Kila siku umeme kukatika imekuwa kawaida ktk maeneo tofauti tofauti ya Jiji la Dar sijui mna tatizo gani Tanesco kila siku badala ya kuboresha ndio mnaua kabisa shirika.
 
Mada ya kukatika umeme ipo jukwaa la soga/zogo (chitchat)

interesting!!!
 
Back
Top Bottom