Mtetezi.com JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 3,134 Reaction score 3,584 Feb 12, 2018 #1 Kila siku umeme kukatika imekuwa kawaida ktk maeneo tofauti tofauti ya Jiji la Dar sijui mna tatizo gani Tanesco kila siku badala ya kuboresha ndio mnaua kabisa shirika.
Kila siku umeme kukatika imekuwa kawaida ktk maeneo tofauti tofauti ya Jiji la Dar sijui mna tatizo gani Tanesco kila siku badala ya kuboresha ndio mnaua kabisa shirika.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Feb 13, 2018 #2 Mada ya kukatika umeme ipo jukwaa la soga/zogo (chitchat) interesting!!!