MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wewe ni mjinga sana na huenda sio shabiki wa Simba ila ni Manara. Sema jf ndo vile tunatumia id fakeMightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...
1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude
Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....
1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga
Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
Msimu uliyopita Lwanga hakucheza hiyo nafasi?Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
Ongezea Ajib mkuuu,Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...
1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude
Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....
1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga
Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
Ndio maana kunakua na usajili unaangalia wap kuna shida unarekebisha ,na kingine kucheza msimu uliopita sio ishu ishu kufanya vzur ata msimu uliopita ni vile simba tu ilikua vzur ukichanganya na udhaifu wa timu pinzan ndio maana alisaidia kwa kiasi chake lkn msimu huu wale wote ambao msimu uliopita tupo nao ktk ligi au champion ligi wengi wameangalia sehem gan ina shida wamerekebisha angalia mfano yanga leo hii ata mukoko bado hana uwakika wa namba eneo la kat wapo vzur sisi kuendelea kutegemea ukabaji wa lwanga mechi kubwa nying kama marefa wakiamua tutacheza pungufuMsimu uliyopita Lwanga hakucheza hiyo nafasi?
unamng'ang'ania mkude huyu mchezaji ameshapitwa na wakati si ajabu nyie ndio mnaong'ang'ania kina Ajibu waendelee kubaki Simba wakati mchango wao ni zero.Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...
1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude
Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....
1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga
Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
Dah, aisee mashabiki wa bongo vichwani hampo sawa kabisa, yaan mnataka timu mwanzo tu wa Ligi ifanye vizuri, hao unaotaka waanzie bench wote ni wazuri Sana tu,na msimu uliopita walifanya vizuri pia, Ni mapema Sana kukosoa timuMightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...
1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude
Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....
1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga
Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
Amekuwa mzito kama Mkude yaani mzito sanaa sijui kawekewa nini miguuni.Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
Akae kundi gani hapo?Ongezea Ajib mkuuu,
Yaani kwa kifupi dunia ya soka ishaachana na aina ya viungo wakabaji wasiokuwa na ubunifu, wale viungo wa kumsubiri adui aje umkwatue ni enzi za akina Vieira, Makelele na Roy Keane.Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
Kivipi mkuu kwani si alichezea timu ya taifa juzi kati hapa,,,Kibu Denis tatizo Uraia wake una utata