Katika kila galaxy kuna super massive Black Hole at the centre

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,394
Reaction score
1,434
Hi Guys!

Katika kila galaxy kuna super massive Black Hole at the centre. Black Hole sio nyeusi kivilee kama jina linavyotaja.

Black Hole ina emitt radiations zinazoitwa Hawking radiation. Sifa ya Black Hole ni kwamba inavuta kila kitu kinachopita karibu, hata mwanga pia ukikatiza kwenye Black Hole unavutwa.

Black Hole inatabia ya kuvuta nyota au chochote kilicho karibu ya Black Hole. Kitu chochote kinachovutwa na Black Hole kinakuwa part of its mass na Black Hole inazidi kuwa strong.

Black Holes pia zikikaribiana zinauwezo wa kuungana na kuunda Black Hole ambayo ni strong zaidi. Pia kuna Black Holes ndogo ndogo.

Black Hole ina gravitation kubwa sana. The gravitation force of Black Hole ndiyo inayoshikilia galaxy. Pamoja na gravitation force hiyo kubwa ya Black Hole, Black Hole haivuti vitu vilivyoko mbali bali inavuta vitu vinavyopita karibu. Nyota zilizo karibu na Black Hole ambazo hazijafikiwa kuvutwa na Black Hole huwa zina tabia tofauti ukilinganisha na nyota zingine zilizo mbali.

Assume Our Sun ikawa replaced na Black Hole of the same mass as our Sun. Sayari zitaendelea kuizunguka Black Hole hiyo kwa speed na umbali kama kawaida kama zinavyolizunguka Jua sasa.

Kuna Non rotating Black Holes na Rotating Black Holes. Not rotating Black Holes are symmetrical na Rotating Black Holes are Ellipsoid.

Kwa upande wowote utakao jaribu kuiface Black Hole. Shape zake zote zinafanana. Means, they are spherical with extraordinary gravity. Na kiukweli utagundua Black Hole haina sides, kila upande utakaoenda kunafanana. Na sio shimo kama jina linavyoita Hole.

View attachment:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What had been existed before the black hole
Black hole mara nyingi zonatokea baada ya kufa kwa nyota. Nyota ikifika mda wake wa kufa huwa zinapitia process mbalimbali hadi inapasuka na kufa na hapo ndipo black hole inaweza kuzaliwa ila sio kila nyota inayokufa itatoa black hole..

Mfano kuna nyota inaitwa Betelgeuse (mara nyingi inaonekana jioni kwa uzuri upande wa magharibi). Hii nyota wana anga wanaamini ipo katika hatua za mwisho na inakaribia kufa. Inasemekana ndo itakuwa tukio la kipekee sana maana mlipuko wake utaonekana duniani usiku na mchana kwa mda wa kama wiki nzima (hakutakuwa na madhara yoyote kwa dunia au mfumo wetu wa jua maana hii nyota ipo mbali sana miaka ya mwanga /light-years 642) na wanaanga wengi wanaifatiliabkwa karibu sana kujua hatma yake ila wanaamini ipo karibu kulipuka (supernova) ingawa bado hawana uhakika kama itatoa blackhole baada ya kufa kwake.

A giant star is acting strange, and astronomers are buzzing

Well said,
If you don't mind. Anything to add about the Big Bang Theory

I'm very interested in cosmology but I feel as I have been limited to access more deep coz ninamudu vizuri,
Kiswahili and English.
Physics and Maths zilipita mbali kidogo.
 
Black hole mara nyingi zonatokea baada ya kufa kwa nyota. Nyota ikifika mda wake wa kufa huwa zinapitia process mbalimbali hadi inapasuka na kufa na hapo ndipo black hole inaweza kuzaliwa ila sio kila nyota inayokufa itatoa black hole..

Mfano kuna nyota inaitwa Betelgeuse (mara nyingi inaonekana jioni kwa uzuri upande wa magharibi). Hii nyota wana anga wanaamini ipo katika hatua za mwisho na inakaribia kufa. Inasemekana ndo itakuwa tukio la kipekee sana maana mlipuko wake utaonekana duniani usiku na mchana kwa mda wa kama wiki nzima (hakutakuwa na madhara yoyote kwa dunia au mfumo wetu wa jua maana hii nyota ipo mbali sana miaka ya mwanga /light-years 642) na wanaanga wengi wanaifatiliabkwa karibu sana kujua hatma yake ila wanaamini ipo karibu kulipuka (supernova) ingawa bado hawana uhakika kama itatoa blackhole baada ya kufa kwake.

A giant star is acting strange, and astronomers are buzzing

Sent using Jamii Forums mobile app
That means kama iko umbali huo ina maana itakua tayari ishakufa. Tunachokuja kukiona ni effect ya light ku travel hiyo 642 light years towards us.

Na kuna uwezekano pia kuwa tumezaliwa tunaona nyota ziko angani na tutakufa tutaziacha wengine wakiwa wanaendelea kuziona, lakini hazipo tena kule zinakoonekana kuwa zipo, zilishakkufa zamani. Umbali ndiyo unaosababisha tuzione kuwa ziko huko zilikokuwa. Na tuseme kwa mfano kama mara ya mwisho kuwepo ni miaka tuseme 3000 iliyopita (ila sasa hivi zilishakufa), inamaanisha kuwa Yesu alizaliwa akazikuta zinag'aa angani wakati kiuhalisia hazipo tena, na mpaka leo tunaendelea kuziona zinang'a na mtu wa mwisho kuziona atakuwa ni yule atakayezaliwa miaka 1000 ijayo, kwa maana kuwa mwanga wa nyota hizo utatoweka hapa duniani miaka 3000 baada ya nyota hizo kuwa zimekufa, muda ambao ni sawa na muda ambao ziliwahi kuwepo kabla ya kufa kwake
 
Black hole,nimeisikia sana hii kitu ngoja niendelee kupata madini hapa...
 
Hi Guys!

Katika kila galaxy kuna super massive Black Hole at the centre. Black Hole sio nyeusi kivilee kama jina linavyotaja.

Black Hole ina emitt radiations zinazoitwa Hawking radiation. Sifa ya Black Hole ni kwamba inavuta kila kitu kinachopita karibu, hata mwanga pia ukikatiza kwenye Black Hole unavutwa.

Black Hole inatabia ya kuvuta nyota au chochote kilicho karibu ya Black Hole. Kitu chochote kinachovutwa na Black Hole kinakuwa part of its mass na Black Hole inazidi kuwa strong.

Black Holes pia zikikaribiana zinauwezo wa kuungana na kuunda Black Hole ambayo ni strong zaidi. Pia kuna Black Holes ndogo ndogo.

Black Hole ina gravitation kubwa sana. The gravitation force of Black Hole ndiyo inayoshikilia galaxy. Pamoja na gravitation force hiyo kubwa ya Black Hole, Black Hole haivuti vitu vilivyoko mbali bali inavuta vitu vinavyopita karibu. Nyota zilizo karibu na Black Hole ambazo hazijafikiwa kuvutwa na Black Hole huwa zina tabia tofauti ukilinganisha na nyota zingine zilizo mbali.

Assume Our Sun ikawa replaced na Black Hole of the same mass as our Sun. Sayari zitaendelea kuizunguka Black Hole hiyo kwa speed na umbali kama kawaida kama zinavyolizunguka Jua sasa.

Kuna Non rotating Black Holes na Rotating Black Holes. Not rotating Black Holes are symmetrical na Rotating Black Holes are Ellipsoid.

Kwa upande wowote utakao jaribu kuiface Black Hole. Shape zake zote zinafanana. Means, they are spherical with extraordinary gravity. Na kiukweli utagundua Black Hole haina sides, kila upande utakaoenda kunafanana. Na sio shimo kama jina linavyoita Hole.

View attachment:

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninaamini huu ni uongo mkubwa.

Wazungu waongo balaa
 
Kuna mambo inabidi muwaachie wataalamu wenyewe wayazungumze. Naona unapuyanga tu na mawazo ya watu huku ukiwa mweupe peeee.
 
Back
Top Bottom