Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

Ni uamuzi sahihi kwa muda muafaka baada ya Putin kuchukua maaskari kule North Korea na kuwaweka mstari wa mbele wa mapambano.
Tunasubiri ajibu kama ataamza kuishambulia US kama aliyotoa ONYO kabla
North Korea wamo ndani ya jimbo la Kursk ambalo limo ndani ya Russia. Huko mbele maeneo yananyakuliwa na wanajeshi wa Russia wenyewe.

Kama haufahamu viongozi wengi ndani ya Russia hawapendezwi na Putin jinsi anavyoiendesha hii anayoiita SMO dhidi ya Ukraine. Wengi wanataka waharibu kila kitu hapo Ukraine kama Israel anavyofanya Gaza.

Wametoa sababu zao kwa Putin kuwa kwa jinsi tunavyoenda na SMO ni ngumu kumaliza hili sakata. Inabidi tupige na tufanye jambo moja la kikatili litakalomfanya Ukraine asalimu mwenyewe amri kuliko wewe Putin unavyoilea.

Kuna kipindi Putin alienda kutembelea kambi moja ya jeshi nchini mwake moja ya maswali ambayo wanajeshi waliyokuwa wanamuuliza ni kipi kinamfanya asiruhusu jeshi la nchi lisitumie zana zote za jeshi walizonazo kama Ukraine na washirika wake wanavyopambana dhidi yao? Putin akatoa majibu anayoyajua mwenyewe ya kuonyesha uungwaana!

Ila yote juu ya yote wachambuzi wa masuala ya kivita wanasema ili Ukraine na west waache kuisumbua Russia pale Ukraine inambidi Russia ifanye maamuzi magumu ya nguvu yake ya kijeshi ili imlazimishe Ukraine asaini makubaliano mwenyewe ya amani. Mpaka sasa Russia katumia 18% za uwezo wake wa kijeshi.

Hatujui Russia atachukua maamuzi gani, wao wenyewe ndiyo wanajua ikiwa Ukraine ikianza kuitumia hiyo ruhusa waliyopatiwa.
 
Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema NATO wakiingia Ukraine Putin atapiga nuclear!?
Shida yako unakaa na kusikiliza stori za vijiweni kijana.
NATO wameingia Ukraine muda sana tu na wanawasaidia Ukraine kwa kuwa train kumtumia silaha zao.

Na vitani wanaingiaga kama kama mercenaries,kuna askari wengi tu wa USA na Canada wamekutwa wameuawa.
Je hao waliingia kwa mwamvuli gani kama sio wa NATO!?
Sema wameingia partially hawajaingia kikamilifu.
 
Huu ni muda ambao Korea Kusini inapaswa kutuma Ukraine msaada wa silaha na wanajeshi wa kwenda kudeal na askari wa Korea Kaskazini.
 
washirika walikua wanasubiri US afanye kuruhusu tu nao wafuate UK FRA GER soon nao wataruhusu matumizi ya storm shadow. LITHUNIA nayo imeruhusu.
View attachment 3155310
Katika nchi ambayo ukiitoa Poland ambazo zinalalamika sana juu ya Russia kwenye mapigano yake na Ukraine Lithuania nayo imo!

Kuna kipindi waziri wao anafanya mkutano na waandishi wa habari kwenye kambi ya kijeshi, Russia alipitisha ndege zake za kijeshi kwenye hiyo kambi mpaka karatasi zao za kuongelea zilipeperuka.

Nov 5 hapo Lithuania imetoka kulalamikq kwa wakubwa zake dhidi ya Russia.

Lithuania ni nchi ndogo sana, hata msuli wowote wa kukabiliana na Russia.

Hizo nchi zote ulizotaja hakuna hata moja yenye uwezo wa kupambana na Russia.

Chancellor wa Germany kahangaika miaka 2 ya kutafuta namna ya kuongea na Russia baada ya Russia kutopokea simu yao!

Macron mpaka sasa hivi ana haha kuwasiliana na Putin, hajapokea simu zao mwaka naaa!
 
Ulitaka wafanye vipi ndio ujue kama wanampangia yaani jirani yako anakuletea vibaka ili kuku dhuru unasema hawaja panga Russia aishije maisha anayoyaishi Russia kafundishwa na hao jirani zake
Alinde mipaka yake na ku deal na watakaoivuka.
 
Hongera kwa uchambuzi wako wa kisia na kishabiki kuonyesha Putin ni muungwana

Tangu siku ya kwanza Putin alitamani amalize vita mapema kwa kukamata Kiev na kumpindua Zelensky
Na akawatangazia wanajeshi wa Ukraine wasalimu amri na kumpindua serikali yao

Lakini msafara wake wa vifaru km 60 ulifanywa hamna

Ikabidi mrusi akimbilie kukamata miji ya mipakani ya urusi

So mbaya zaidi mpaka Sasa Zelensky Yuko serikali yake ipo na wameteka Eneo la urusi

Siku nyingine chambua Hali ilivyo sio hisia zako na ushabiki
 
Ulitaka wafanye vipi ndio ujue kama wanampangia yaani jirani yako anakuletea vibaka ili kuku dhuru unasema hawaja panga Russia aishije maisha anayoyaishi Russia kafundishwa na hao jirani zake
Na kadiri ya sheria za komataifa, taifa linapaswa kudhibiti jirani zake, hasa kufuatilitilia mienendo yake ya kijeshi.
Kabla ya US kutuma 'vijana' wao Kursk, Biden alisema hadharani kuwa ataona namna ya kupambana na uchumi wa Urusi.

Mpngo wa Kursk umebuma ndio amesaini huu, huku akijua anaondoka ikulu na chama kimepoteza ushawishi kabisa kwa raia.
 
Marehemu kwenye ubongo wako 😁
Alooo!

🤣🤣🤣🤣
 
It's gotta be a two way traffic, kama Russia anavyowajibika kuishi vizuri na jirani zake na hao jirani zake pia wanawajibika kuishi vizuri na Russia.
Ni jirani yake yupi aliyevuka mpaka wake na kumvamia kama yeye afanyavyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…