Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu.
Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na ipo siku kuna benki kubwa itakuja nyingine na tutaondoka kama lile tangazo la hamia Airtel.
Mikopo watu wanasubiri hadi miezi mitatu, kupiga simu haipokelewi karibia wiki nzima, vidada kwenye benki zenu vina nyodo utafikiri vinacheza Bongo Movie.
You are simply becoming a scum.