Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Mfanya maamuzi hayo ni nani?Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k
Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi..
Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia..
Ila once again CHADEMA poleni
Hii itakuwa zaidi ya 2020..
Uko sahihi, na mimi naamini cdm haihitaji viti vya kupewa maana uhalisia ni kuwa nguvu yao ni dhahiri. Anayepewa msaada ni asiye na uwezo, lakini mwenye uwezo ha hahitaji mbeleko ya yoyote.Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k
Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi..
Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia..
Ila once again CHADEMA poleni
Hii itakuwa zaidi ya 2020..
Sahihi kabisa, cdm inakubalika bila hata kupewa upendeleo na yoyote.wakifanya siasa za namna hiyo watakuwa wanadanganya wapumbavu, kamwe werevu hawadanganyika na upuuzi huo
vyama vyenye umoja na mipango vitashinda uchaguzi,Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k
Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi..
Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia..
Ila once again CHADEMA poleni
Hii itakuwa zaidi ya 2020..
Tatizo CDM wamebaki peke yao. Wananchi bado hawajui wanataka nini!Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k
Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi..
Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia..
Ila once again CHADEMA poleni
Hii itakuwa zaidi ya 2020..