Katika kuendeleza elimu ya tanzania hiki ndo nilichofanya

Joined
Mar 3, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Asante ndugu wanajamii wenzangu.
kwa jina naitwa bless mgongolwa, Nipo kidato cha 6 PCM katika shule ya secondary BENJAMIN WILIUM MKAPA, Katika kujitolea kuendeleza elimu ya tanzania Nimebuni TOVUTI inayoitwa VITABU TANZANIA yaani (Vitabu )ambayo itakuwa ina shughulika na kuweka MATILIO, MAKALA, MITIHANI, NA HADITHI MBALIMBALI KATIKA MTANDAO ILI WANAFUNZI NA WATU WA RIKA MBALIMBALI WAWEZE kujisomea na kudownload BUREE. Mimi kama kijana naitaji SUPPORT kubwa kutoka kwenu.

Ahsante.
Wenu katika kuendeleza elimu ya Tanzania

B.S.Mgongolwa

Endelea kutembelea WWW.vitabutanzania.com
 
Safi sana BS,hii ndio akili ya kuzaliwa na ubunifu wa kipekee binafsi nimelipenda hilo wazo lako hakika nimeona matunda ya PCM mapema sana,Mungu akupe afya kijana,nitakusapot kwa ntakapoweza
 
Asante ndugu wanajamii wenzangu.
kwa jina naitwa bless mgongolwa, Nipo kidato cha 6 PCM katika shule ya secondary BENJAMIN WILIUM MKAPA, Katika kujitolea kuendeleza elimu ya tanzania Nimebuni TOVUTI inayoitwa VITABU TANZANIA yaani (Vitabu )ambayo itakuwa ina shughulika na kuweka MATILIO, MAKALA, MITIHANI, NA HADITHI MBALIMBALI KATIKA MTANDAO ILI WANAFUNZI NA WATU WA RIKA MBALIMBALI WAWEZE kujisomea na kudownload BUREE. Mimi kama kijana naitaji SUPPORT kubwa kutoka kwenu.

Ahsante.
Wenu katika kuendeleza elimu ya Tanzania

B.S.Mgongolwa

Endelea kutembelea WWW.vitabutanzania.com
Safi sana ndugu... Fanya utaratibu wa kuweka vitabu vingi iwezekanavyo... Nashauri pawe na fee ya kusoma kitabu fulani ili uwe na uwezo wa ku-update yaliyomo kila mara... BIG UP
 
Back
Top Bottom