Katika kupita pita huko kwenye mitandao nimekutano msemo "Lofa hana rangi maalum, kila rangi anavaa"

Katika kupita pita huko kwenye mitandao nimekutano msemo "Lofa hana rangi maalum, kila rangi anavaa"

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!

Sina mengi naomba kicopy na kupaste.

Admin naomba usibadilishe chochote ili tujadili ukweli ya hii kauli.

85ef3976d8d235ac1781ea3d8557130f_0.jpeg
 
Ukitoa changamoto ya rangi nadhani wana design nzuri ya jezi."maendeleo haya chama"
 
Hii picha ya mwaka 91, angalia Yanga walivaa jezi za rangi gani.
 

Attachments

  • Screenshot_20241120-200646.jpg
    Screenshot_20241120-200646.jpg
    250.9 KB · Views: 4
OK sawa
Jezi design ijayo tutavaa nyekundu tuone mtatufanyaje
Maana imekuwa too much
 
Wengine walianza kufuatilia mpira wa simba na yanga baada ya kuanzishwa AZAM TV.
Unaikumbuka jezi ya yanga iliyokuwa na NEMBO YA Sharuksi kifuani ? Ilikuwa na rangi gani haswa?
 
Vipigo vimewachangaya
Sasa tangu lini wakavaa jezi ya azam
Yule mburula wao ngowe atakuja na vihadithi vyake uchwara awachote wajinga wenzake hapo jangwani
Kama NGOWI ni Mburura wewe utakuwa nani sasa? Rangi mama ya Simba ni ipi? Ile ya kibului inawakilisha rangi ipi hapo msimbazi?
Usiwe kama kasuku mkuu
 
Kama NGOWI ni Mburura wewe utakuwa nani sasa? Rangi mama ya Simba ni ipi? Ile ya kibului inawakilisha rangi ipi hapo msimbazi?
Usiwe kama kasuku mkuu
Huyo ngowi anakopi kazi za watu hana achojua aendelee na vitenge vyake
Naona mmepelekewa moto na mashabiki wenu mpaka mmerudi kwenye njano
LUc eymael hakukosea kuwaita mambwa
 
Back
Top Bottom