Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
AiseeTuwazoe tuView attachment 3156944
Vipigo vimewachangayaWameondoka kwenye natural identity na kuvaa rangi yoyote.
Mwanamke huwa anapenda kuvaa nguo za mume wakeOK sawa
Jezi design ijayo tutavaa nyekundu tuone mtatufanyaje
Maana imekuwa too much
Loffer khana rhangi maalum😂🙌🏿🏃🏿Hapo vip!
Sina mengi naomba kicopy na kupaste.
Admin naomba usibadilishe chochote ili tujadili ukweli ya hii kauli.
View attachment 3156942
Kama NGOWI ni Mburura wewe utakuwa nani sasa? Rangi mama ya Simba ni ipi? Ile ya kibului inawakilisha rangi ipi hapo msimbazi?Vipigo vimewachangaya
Sasa tangu lini wakavaa jezi ya azam
Yule mburula wao ngowe atakuja na vihadithi vyake uchwara awachote wajinga wenzake hapo jangwani
Sijui imekuwaje?Wameondoka kwenye natural identity na kuvaa rangi yoyote.
Huyo ngowi anakopi kazi za watu hana achojua aendelee na vitenge vyakeKama NGOWI ni Mburura wewe utakuwa nani sasa? Rangi mama ya Simba ni ipi? Ile ya kibului inawakilisha rangi ipi hapo msimbazi?
Usiwe kama kasuku mkuu