Hello,habari za leo.
Wapendwa naomba kuwakumbusha kuwa katika kutafuta mchumba, mume au mke Mruhusu Roho mtakatifu akusaidie ili uweze pata mtu sahihi. Watu wengi wamejikita katika kutoa vigezo na masharti wamesahau kuwa mtu yoyote anaweza kuwa hivyo vigezo vile unavyovitaka lakini akawa mwiba katika maisha yako yote.
Ila ikimruhusu Mungu katika moyo wako basi utapata mtu sahihi ambaye utafurahi maisha yako yote.
Nipo kazini hapa nimekaa nimetafakari sana juu ya haya maisha, maisha ni mafupi mno hivyo unatakiwa kulinda moyo wako na kurushu amani itawale ili uweze kufurahi wakati wa uhai wako.