Katika kutengeneza maisha ya Bilal Rehani Waikela (1932 -2022)

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
KATIKA KUTENGENEZA KIPINDI CHA MAISHA YA BILAL REHANI WAIKELA

Mtangazaji wa IBN AFRICA TV Hemed Lubumba akinihoji kuhusu maisha ya Bilal Rehani Waikela.

Kipindi In Shaa Allah kitawekwa hapa kitakapo kuwa tayari.

No photo description available.

Hongera sana. Hakika wewe ni tunu kwa taifa letu katika masuala ya historia. Bahati mbaya, sidhani kama unatumika ipasavyo kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Lakini kwa ninavyokutazama mimi, nakuona unajua sana.
 
Gertrude...
Ahsante sana.
 
Huyo Bilal ni nani mzee wangu
ed...
BILAL REHANI WAIKELA NA TEWA SAID TEWA: KIFO CHA EAMWS NA MALI ZAKE
Viongozi hawa wawili wa EAMWS wameacha nyaraka za kutosha kuhusu historia ya Waislam wa Tanganyika na yaliyopelekea jumuia hiyo kuvunjwa wakiwa katikati ya kufaniksha mipango na miradi mikubwa ya elimu kwa manufaa ya Waislam wa Tanganyika.
Mipango hii ilijadiliwa katika Muslim Congress ya mwaka 1962 Mufti Sheikh Hassan bin Ameir aliposema, "Waislam tumeupigania uhuru hadi umepatikana sasa tushughulike na elimu ambayo wakoloni walitunyima."
Kuanzia hapo ndipo juhudi za kujikwamua kutoka unyonge wa elimu zilipoanza.
Subsidiary Legislation iliyoko hapo chini ina sahihi ya Said Ali Maswanya, Waziri wa Mambo ya Ndani.
Said Ali Maswanya katokea wapi?
Msikilize Bilal Rehani Waikela.
Ananieleza historia ya EAMWS tuko watatu.
Mimi, Ilunga na shemeji yake iliunga ambae ndiye alikuwa mwenyeji wagu Tabora, Salum Ali Mkngwa...

1657885587383.jpeg

Bilal Rehani Waikela kama alivyokuwa katika 1950s
 
Back
Top Bottom