Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Hongera sana. Hakika wewe ni tunu kwa taifa letu katika masuala ya historia. Bahati mbaya, sidhani kama unatumika ipasavyo kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Lakini kwa ninavyokutazama mimi, nakuona unajua sana.KATIKA KUTENGENEZA KIPINDI CHA MAISHA YA BILAL REHANI WAIKELA
Mtangazaji wa IBN AFRICA TV Hemed Lubumba akinihoji kuhusu maisha ya Bilal Rehani Waikela.
Kipindi In Shaa Allah kitawekwa hapa kitakapo kuwa tayari.
KATIKA KUTENGENEZA KIPINDI CHA MAISHA YA BILAL REHANI WAIKELA
Mtangazaji wa IBN AFRICA TV Hemed Lubumba akinihoji kuhusu maisha ya Bilal Rehani Waikela.
Kipindi In Shaa Allah kitawekwa hapa kitakapo kuwa tayari.
Gertrude...Hongera sana. Hakika wewe ni tunu kwa taifa letu katika masuala ya historia. Bahati mbaya, sidhani kama unatumika ipasavyo kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Lakini kwa ninavyokutazama mimi, nakuona unajua sana.
ed...Huyo Bilal ni nani mzee wangu