Kinyakyusa iko gete geteKilugha gani hiki
Sasa wewe ni wifi angu kiaje wakati kaka yako sio msukuma? Au unanizungukaπ€Kisukuma bana ww wifi ππππ
Achana na ukabila ww wifiSasa wewe ni wifi angu kiaje wakati kaka yako sio msukuma? Au unanizungukaπ€
ππππEeeehKinyakyusa iko gete gete
Nitaanza kukuangalia kwa jicho la VARπ₯ΈAchana na ukabila ww wifi
Kaka ni kakaπ
πππSalaaam
Ngojaβ΅ tuwaweke kwa style zao. Sio lazima wawe wapenzi hata urafiki wa kawaida.
smart na mahondow
Pdidy na unique flowerπ€£
Heriel na donatila
Chaliiifrancisco na ephen
Mshana na faiza π
Mrangi na niffer
Bichwa na cocaaaπ€£
Mshamba achekwi & Depal
raraa reee na Numbisa
Deep pond na Kapeace
Lucas mwashambwa & Jane Lowassaπ€£
Half america na leejay
Shimba buyenze & Bantu lady
Controla & Rubby
Mad max &Cute wife.
Extrovert & dada hornet.
List ni ndefu nakuja kumalizia.....au nyie endeleeni....
Wifi angu nakwambia kweli mim ni wifi og achana na mawifi fakeNitaanza kukuangalia kwa jicho la VARπ₯Έ
βΊοΈImeisha hiyo!Wifi angu nakwambia kweli mim ni wifi og achana na mawifi fake
ππβΊοΈImeisha hiyo!
πππβΊοΈImeisha hiyo!
We acha kabisa.Leo tupo tena, Twitter pub, dah we mkongwe kbs
Hapo sawa, vinginevyo Kisukari na Presha havitaacha kupanda Kwa Mzee wenu hapa ππkwa hiyo big nyanshiiii huendeshi tukatafutie vimotokaaa πππππ
Nakumbuka sana, na ile live band yako pale matema ..hahahahahahaWe acha kabisa.
Nimecheza sana nyimbo za Dj Aidid (r.i.p) pale Twita pub Kinondoni.
Aidid msomali, Geez mabovu ,pub ilikua na watu nunda tuWe acha kabisa.
Nimecheza sana nyimbo za Dj Aidid (r.i.p) pale Twita pub Kinondoni.
π πNimepata kazi hapa tajiriiiiπ€π€π€
Ahsante sana my sister, nakupendaje.Sijakususa sema tunapishana...
Nitakutumia dumu la Dompo kwenye shabiby...
Ila weweeeee........π€Nakumbuka sana, na ile live band yako pale matema ..hahahahahaha
Umeona eeee.....pale pub ya manunda.Aidid msomali, Geez mabovu ,pub ilikua na watu nunda tu