CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Mara nyingi tumekuwa tunaendesha maisha yetu kwa kuangalia watu wengine wanaendesha vipi maisha yao, kitu ambacho si sahihi kabisa, Katika maisha unatakiwa kuwa tofauti nawenzako, unatakiwa utofautiane na wenzako ili ufanikiwe. Tumekuwa tunafanya mambo kwa kufuata mkumbo, Anacho fanya jirani yako na wewe unataka ufanye