CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Nachoweza kusema ni kuwa Mungu Akubariki mkuu Chasha.
Katika kufuata Mambo yako ni kwamba kama wenzako wanapita kushoto basi wewe pita kulia, Wakilala wewe ndo unaamuka, wakiamka wewe ndo unalala, Mara nyingi maisha na hata kazi tunazo zifanya zinakuwa ngumu sana kwa sababu kuu moja, tulifuata njia wanayo pita watu wengine, hivyo tukatengeneza jamu,