ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jul 10, 2024 #1 Amani ni kitu kimoja kizuri sana. Nchi yetu ina amani kiujumla. Aman na upendo tunajivunia ukivuruga amani ya nchi yetu fasta tunakupinga Bongo lazima ukikubali kwenye ulinzi.
Amani ni kitu kimoja kizuri sana. Nchi yetu ina amani kiujumla. Aman na upendo tunajivunia ukivuruga amani ya nchi yetu fasta tunakupinga Bongo lazima ukikubali kwenye ulinzi.
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Jul 10, 2024 #2 Yote uliyoyasema ni kweli kabisa.Ila sasa sijui ni kwanini wakazi wa hiyo nchi hawana furaha. Ni moja ya nchi ambazo wakazi wake hawana furaha.
Yote uliyoyasema ni kweli kabisa.Ila sasa sijui ni kwanini wakazi wa hiyo nchi hawana furaha. Ni moja ya nchi ambazo wakazi wake hawana furaha.