Katika maisha ya kutafuta pesa ogopa sana kushikiwa akili

Katika maisha ya kutafuta pesa ogopa sana kushikiwa akili

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Katika mafanikioa yako pambana sana na hali yako na utatoboa man.

Iwe ni kwenye biashara iwe ni kwenye kazi na respect sana Dream yako. You have a dream na respect sana your own dream na kamwe mtu awaye yoyote asiweze kukushikia akili.

Hutakiwa kufuata kwa 100% ninachoelezaga humu ila unatakiwa kujiongeza na wewe. Nikisema Kujiajiri ni kuzuri kuliko ajira yes kwa upande wangu ni sawa kwa 100%; ila kwako inaweza kuwa sio sawa kabisa na ajira kwako ni sawa kabisa.

So tunapotoa mafundisho sio kwamba ndo uyafuate kwa 100% no chukua robo na changanya na ya kwako na fanyia kazi.

Kuna mtu alisema huwa nawakashifu walioajiriwa na kuwaponda; hapana!! Kama umeajiriwa wewe komaa na ajira yako na kama unaacha unaacha wewe kama wewe na si uache kwamba Chasha alishauri niache kazi na nilime au nikafanye biashara nyingine.
 
Habari za asubuhi mkuu muraa, hebu tuelimishane huku kushikiwa akili una maana gani? Manake wengine kiswahili kinatusumbua!
 
Habari za asubuhi mkuu muraa, hebu tuelimishane huku kushikiwa akili una maana gani? Manake wengine kiswahili kinatusumbua!
Yaani unacho fanya na unacho amua kinakuwa controles na some one
 
Huyu jamaa huwa simuelewi kabisa,

Thread zake za mistari miwili miwili hata haeleweki,

Sio kila ukijisikia kubandika andiko hapa unafanya hivyo,

Halafu tatizo lako unajionaga the best sana mkuu sio mzuri hiyo,

Nimekuona mara nyingi badala ya kuleta idea watu waichambue wewe kazi yako kila siku kuponda tu walioajiriwa,

Sasa kwa kuwaponda unawasaidia au?
 
Wewe huwezi leta Idea? kuna mtu unamlipa kuleta Idea?
 
Huyu jamaa huwa simuelewi kabisa,

Thread zake za mistari miwili miwili hata haeleweki,

Sio kila ukijisikia kubandika andiko hapa unafanya hivyo,

Halafu tatizo lako unajionaga the best sana mkuu sio mzuri hiyo,

Nimekuona mara nyingi badala ya kuleta idea watu waichambue wewe kazi yako kila siku kuponda tu walioajiriwa,

Sasa kwa kuwaponda unawasaidia au?
Idea hata wewe unaweza leta si unayo akili mkuu? au Idea lazima itoke kwingine?
 
Nimekupata
Karibu tena muraa, ila kuna mtu anaitwa Ras Simba ni maarufu sana pale Magomeni Daslam angekusaidia kwenye ung'eng'e ndani ya muda mfupi sana haijalishi wewe ni mzee au nani! Na ukishindwa anakurudishia ada yako yote na labda ukazaliwe upya ulaya.
 
152c0f17d128d5de76c84aeb613a91e6.jpg

Huko Kitunda hamjambo lakini, vipi mayai yapo niweke oda.
 
Back
Top Bottom