Jumamosi ya tarehee 20.Nikiwa nyumbani mida ya usiku masaa ya saa tano kuelekea saa sita.
Nikapata shida ya dawa za mtoto ikabidi nitoke maana duka la dawa sio mbali kwa kutembea ni kama dakika 12 kulifikia kwa kutembe.
Kweli ni kakuta dukani wapo nika nunua dawa.
wakati narudi na ujasiri wangu nikafika njia panda nikahisi mwili na nafsi kama vina ulizana mbona hupo peke yako hata kibaka hakuna.
Sijapiga hatua tatu nashangaa kuona mtu hata uwezi kujua sura yake ila ikoje na nguo alizovaa kama zile za wanaopiga bend za askari zimebana na mikono yake unaweza kusema ni waya au pweza inavyo tembea.
Kilicho nishitua kashika mfuko mweupe uliopulizwa na kufungwa ukiwa na kitu sijui niseme kama nyoka maana sikutaka kumuangalia sana.
Ilibidi nirudi nyuma kwanza tulipo kutana naye yeye alitokea katangulia gafla ila kama akataka mimi niwe mbele na hapo njia panda.
Ni kashangaa alipoona nime rudi nyuma nikimsubiri atangulie na yeye kasimama.
Nikaona hapa niwashe simu tochi mara naye kaganda hapo hapo.
Sikutaka kuuliza nikapata ujasiri nikampita ila kila nikiangalia nyuma naona yupo pale pale .
Mpaka nafika ndani uzito ushapungua wote.
Hata nashindwa kumpa picha gani alivyo.