#COVID19 Katika mapambano ya Corona adui namba 3 alikuwa Dkt. Gwajima, anasubiri nini kujiuzulu?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Nadhani sasa hatua zinazochukuliwa na Serikali dhidi ya Corona mnazisikia. Lakini katika awamu ilipita hali ilikuwa tofauti kabisa, Serikali ilitelekeza jukuma la kulinda raia wake. Licha ya kuwapa ushauri lakini waliziba masikio

Nchi imepoteza rasilimali watu wengi mafungu kwa mafungu kutokana na uzembe wa serikali. Lakini serikali hiyo ilikuwa na waziri mtaalamu wa afya. Naye aliungana na watu wasio wataalamu kupotosha watanzania na dunia. Waziri huyu bado yupo kazini naye anajifanya kupambana hivi sasa. Aulizwe alikuwa wapi siku zote?

Katika hii vita ya Corona adui namba 1 ni Corona, Adui namba 3 ni Dr. Gwajima
 
Mkuu umewekeza tsh. Ngapi kwenye huu mradi wa chanjo.naona unaipamba biashara .usjal mkuu ,mzigo utaingia Ila sidhani Kama mtapata wateja.
 
Wewe umesaidia nini kwenye hii corona mjinga wewe?

Kazi za kichawi hizi utaacha lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…