Katika miaka 10, Kikwete amefanya hili katika michezo

Katika miaka 10, Kikwete amefanya hili katika michezo

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
huyu alioingia ktk urais ilisemekana ni mpenz wa michezo.tujiulize baada ya miaka 10 ametuachia nini wanamichezo?angalau b.mkapa alituachia uwanja. kikwete kaua basketball ambayo ilisemekana alikuwa mpenz sana wa mchezo huo.football akamleta kilaza marcio maximo yakamshnda akamwacha sasa. mnisaidie ametuachia kumbukumbu gani nzuri wanamichezo?
 
amefanikiwa kuua kabisa mpira wa miguu... maana sasa team yetu ya Taifa imekuwa mbovu maradufu ukilinganisha na kipind kile cha alhaj al hassani mwinyi. huyu jamaa yaan ni mweupe kwenye kila kitu isipokuwa mambo mambo mengine tu huko ndo anakoweza vizuri.
 
Aache nini!!! huyu mzee wakat wa utawala wake utakumbukwa kwa kupandisha ugumu wa maisha tu!
 
mmhh.. haya mambo mengine mnampa mzigo bure mheshimiwa rais. mngemwacha tu amalize muda afanye mambo yake mengine. sawa? mwacheni tu jamani. mtazidi kumchanganya maana mkisema ameshindwa kwenye kila kitu atajisikia vibaya angalau mumitie moyo kidogo. mkubwa huwa hakosei. sema amekuwa na majukumu mengi sana si mnajua inabidi apite pite huku na kule kwenda kutafuta hiki na kile.
 
amefanikiwa kuua kabisa mpira wa miguu... maana sasa team yetu ya Taifa imekuwa mbovu maradufu ukilinganisha na kipind kile cha alhaj al hassani mwinyi. huyu jamaa yaan ni mweupe kwenye kila kitu isipokuwa mambo mambo mengine tu huko ndo anakoweza vizuri.

Huko nako wanasayansi wanasema hawezi mkuuu...si umesikia sijui kuna tezi dume...sijui Busha
 
Back
Top Bottom