Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Huo ndiyo utafiti wangu na msiniulize data nimezitoa wapi. Kwa wale wenzangu na mimi waliotembelea nchi mbalimbali, bila shaka utaunga mkono kwa asilimia mia moja hitimisho hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Bukoba wana ugali wa ndizi lkn wamejazia?
Hahahaha ndo mana huku znz wengi vislim body kwasababu mainmenu ni ubwabwa lol.
Kama gals wa boarding wengi wamefungasha mashallaaaah,
Kuna tofauti ya kuwa slim
body na kujazia makalio. Unaweza kuwa bonge afu ukawa umepigwa pasi
inayotumia umeme wa uranium. Ukienda unakuwa kama unarudi. Na unaweza
kuwa slim ila umejazia ile mbaya,lol
Kuna tofauti ya kuwa slim body na kujazia makalio. Unaweza kuwa bonge afu ukawa umepigwa pasi inayotumia umeme wa uranium. Ukienda unakuwa kama unarudi. Na unaweza kuwa slim ila umejazia ile mbaya,lol
Ina moto moto mkali balaa.teh teh hii kali ya mwaka pasi inayotumia umeme wa uranium?
Hahaha, acha kunisimanga basi. Ngoja nikazane na dawa za kichina manake zimedunda.bora mwanamke awe slim afu kapigwa pasi kuliko mbonge afu awe nyuma flat kama sony wega