love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Wakati Marekani inaingia kwenye vita ya dunia, kwa mara ya kwanza ndio ikawa mwanzo wa kodi kwa raia wake sababu ikiwa ni kugharamia vita kama wanainchi wazalendo dhidi ya vitisho vya wa NAZ.
Ajabu ni kwamba kodi zile zimeendelea kuwepo hata baada ya vita kuisha mpaka leo miaka mia imepita toka vita vya kwanza vya dunia kupiganwa.
Tanzania tumeanzisha tozo kujenga madarasa na vituo vya afya kupitia miamala ya simu, vifurushi na miamala ya kibenki.
Kuwa kimya maanake ni kukubali lakini kama alivyosema Mwigulu "watazoea".
Je, baada ya ujenzi wa madarasa na vituo vya afya kukamilika tozo hizi zitaondolewa?
Au tutakuwa kama Marekani kwa mara nyingine.
NB: Mtu wa kawaida akizidisha matumizi anafirisika mwanasiasa akizidisha matumizi anaongeza kodi.