Hili ni gumu kufikirika, ila ukikaza fuvu lako vema utang'amua!
Nimetaja ndoa, ila of course ni kwenye mahusiano ya mapenzi baina ya mwanaume na mwanamke
Tumezoea kuambiwa ndoa ni ya wapendanao. Jamani hii si kweli. Mwanamke hajapewa nafsi ya Upendo! Alichonacho moyoni ni Uhitaji tu. Anahitaji life security, financially, and socially! Pia anahitaji watoto na mara kadhaa kupoza upwiru.
1.Tuanze na simulizi ya uumbaji.
Mungu aliimuumba Adam na inaonekana hakuwa na mpango wa kumuumba mwanamke. Ila Adam alionekana mnyonge sana na mkiwa. Hapo Mungu akaona atafute ni nini akifanye amchangamshe Adam. Akaona Ahaa aumbe mtu mwenye jinsi tofauti ili Adam ajipatie kitu Cha kujichangamsha nacho!
Tukianza na senario hii, tunaona kuwa Eva alikuja kwa ajili ya Adamu, na si Adamu kwa ajili ya Eva. Kwa mantiki hio Eva aliamsha furaha moyoni mwa Adam na si kinyume chake. Hivyo Upendo ulizaliwa rasmi ndani ya nafsi ya Adamu, wakati huo Eva bado anashangaashangaa pale bustanini, "hapa wapi na huyu nani!"
Hapa tunamsikia Adam anavyojinasibu kuwa Eva ni sehemu ya mwili wake, hivyo hatuwezi kutilia shaka Upendo wa Adam kwa Eva!
Senario nyingine ni pale Eva alipodanganywa na nyoka na Akala tunda kinyume na Sheria, kisha akamfuata Adamu kumwambia ale pia. Adamu aligoma sana na kumlaumu Eva kwa kitendo kibaya kama kile.
Eva akajikasirisha na kumnunia Adam. Kutokana na Upendo alionao, Adam akaona ambembeleze Eva wake kipenzi. Naye akala lile tunda, liwalo na liwe ilimradi Eva wake afurahi na arudishe tabasamu lake. Hata kama Mungu atawaadhibu, potelea mbali!
Daah, penzi linawaumiza wanaume wengi hadi Leo!!
2.Sasa tuangalie kauli hii
"Mume ampende mke wake, na mke amtii mumewe!"
Haya ni mafundisho maarufu sana katika biblia. Mafundisho haya yanaonesha wazi kuwa Upendo umewekwa kwenye nafsi ya Mume! Kwanini hoja isiwe, "mupendane na mushauriane?"
Kwahio mke anapewa nafsi ya kujiweka chini ya Mume ambaye amepewa nafsi ya Upendo juu yake.
3.Tuone maisha ya Leo!
Leo hii katika maisha, tunaona jinsi Mwanaume anavyohangaika kutwa kucha kwa ajili ya kumtunza mwanamke. Mwanaume akianza maisha ya kutafuta pesa, anawaza jinsi gani atazitumia na mke wake aliyenaye au ajaye.
Anawaza Afanye vipi afurahie maisha yake na mke wake aliyenaye au ajaye
Hii yote inaonesha kuwa nafsi ya mwanaume imeumbiwa Upendo kwa mwanamke
Leo hii, mwanaume anaogopa kuoa si kwa sababu Hana Upendo! Bali asili ya Upendo moyoni mwake unamfanya aumie vile atakavyoshindwa kumtunza mke wake
Asili ya Upendo moyoni mwake unamfanya aumie vile atakavyoteswa na ukosefu wa utii wa mwanamke katika ndoa!
Hebu tumchunguze mwanamke!
Je, mwanamke ameumbiwa Upendo kwa mwanaume?
1. Simulizi la Uumbaji
Eva alikuja kumfurahisha Adamu.
Lengo la ujio wake hauwezi kumjengea Upendo, isipokuwa ni majivuno ya kuona yeye ni special na kwamba bila yeye basi Adam si lolote si chochote
Kitendo Cha kuonekana anarandaranda bustanini peke yake na hadi nyoka kuchukua fursa ya kumrubuni, na Akala tunda ambalo Adamu alimuonya mara nyingi ni ishara ya dharau ya kutomjali Adamu
2. Mwanamke amesisitiziwa utii katika biblia, ishara kwamba nafsi yake Haina Upendo.
Mwenye Upendo hasisitizwi utii
3. Maisha ya Leo
Mwanamke anaonekana anapenda kuhudumiwa tu.
Hapendi kushare mapato yake na mumewe
Mwanamke hawezi kuishi na mume maskini.
Ikitokea mumewe amefilisika anaondoka kwenda kwa mume mwenye kipato
Mwanamke mwenye kipato asiyeolewa anajenga maisha kwa ajili yake, na kamwe hafikiri maisha anayojenga ni kwa manufaa yake na mumewe ajaye!
Tofauti na mwanaume ambaye hajaoa, hujenga maisha kwa manufaa yake na mke we ajaye
Mwanamke ndiye anahitaji ndoa zaidi ili atunzwe na si kwa sababu anawapenda wanaume.
Wao ndio wanakesha kwenye maombi ya kupata wanaume, wakati wanaume wapo wengi tu.
Kwa mfano mdada mfanyakazi wa serikali anakesha kuomba Mungu ampe mume, kwanini asimwambie bodaboda wake waoane?
Hapo ndio utaona mwanamke hajaumbiwa Upendo kwa wanaume
Mbona mwanaume akitaka kuoa atamuambia hata house girl wake amuoe?
Huo ni uthibitisho kuwa mwanaume ameumbiwa nafsi ya kuwapenda Wanawake
Mwanaume Anaweza kumla hadi mwanamke punguani.
Mwanamke Hana nafsi ya Upendo kwa mwanaume. Mwanamke tajiri atadate na tajiri tu. Hapo utajiuliza, kwamba qualities za kiume zipo kwa tajiri tu?
Mwanaume atampenda mwanamke kwa qualities za mwanamke. Qualities hizo ziwe kwa tajiri, maskini hata punguani.
Mwanamke anapenda qualities za fedha sio qualities za kiume! Hapo tujiulize mwanamke amependa nini?
Mwanaume na Aishi na mke wake kwa akili!