Katika rasimu ya pili ya katiba kipengele cha lugha kipitiwe upya ili kundoa madaraja

Katika rasimu ya pili ya katiba kipengele cha lugha kipitiwe upya ili kundoa madaraja

Joined
Jan 30, 2014
Posts
34
Reaction score
1
lugha ya taifa iendelee kuwa kiswahili lakini lugha ya kufundishia iwe kiingereza kuanzia shule za msingi (darasa la 1).
 
lugha ya taifa iendelee kuwa kiswahili lakini lugha ya kufundishia iwe kiingereza kuanzia shule za msingi (darasa la 1).
Inabidi turudi nyuma kwanza tuangalie sababu zipi zilimfanya nyerere akifanye Kiswahil kuwa ndiyo lugha kuu ya kufundishia, ni zipi? bado zipo?..

Halafu ndiyo wewe au walio na maoni sawa na wewe watupe maoni yao ya kwa nini kiingereza iwe lugha ya kufundishia toka shule za msingi.
 
Back
Top Bottom