A ADVENTURE JOHN Member Joined Jan 30, 2014 Posts 34 Reaction score 1 Feb 8, 2014 #1 lugha ya taifa iendelee kuwa kiswahili lakini lugha ya kufundishia iwe kiingereza kuanzia shule za msingi (darasa la 1).
lugha ya taifa iendelee kuwa kiswahili lakini lugha ya kufundishia iwe kiingereza kuanzia shule za msingi (darasa la 1).
S Sideeq JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 2,422 Reaction score 434 Feb 8, 2014 #2 ADVENTURE JOHN said: lugha ya taifa iendelee kuwa kiswahili lakini lugha ya kufundishia iwe kiingereza kuanzia shule za msingi (darasa la 1). Click to expand... Inabidi turudi nyuma kwanza tuangalie sababu zipi zilimfanya nyerere akifanye Kiswahil kuwa ndiyo lugha kuu ya kufundishia, ni zipi? bado zipo?.. Halafu ndiyo wewe au walio na maoni sawa na wewe watupe maoni yao ya kwa nini kiingereza iwe lugha ya kufundishia toka shule za msingi.
ADVENTURE JOHN said: lugha ya taifa iendelee kuwa kiswahili lakini lugha ya kufundishia iwe kiingereza kuanzia shule za msingi (darasa la 1). Click to expand... Inabidi turudi nyuma kwanza tuangalie sababu zipi zilimfanya nyerere akifanye Kiswahil kuwa ndiyo lugha kuu ya kufundishia, ni zipi? bado zipo?.. Halafu ndiyo wewe au walio na maoni sawa na wewe watupe maoni yao ya kwa nini kiingereza iwe lugha ya kufundishia toka shule za msingi.