Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja sio demokrasia

Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja sio demokrasia

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja cha siasa sio demokrasia wakati nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa. Nilisema Kwa chama kimoja kuunda tume huru kunapoteza maana halisi ya nchi yetu kuwa ni ya vyama vingi vya siasa kunakuwa hakuna demokrasia.

Nilishauri tume huru kuundwa na vyama vyote vya siasa nchini badala ya chama kimoja kama ilivyo hivi sasa Kwasababu hii sio demokrasia na inapoteza maana halisi ya nchi yetu kuwa ni ya mfumo wa vyama vingi vya siasa.

Kama ichi yetu ni ya kidemokrasia basi itabidi twende kidemokrasia itabidi ifike sehemu tuchague kama ni baridi au moto tujue, katika uhalisia chama kimoja kuunda tume huru sio demokrasia.

Soma andiko langu hapa 👇

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kupatikana kutokana na chama kimoja pekee sio sawa wala haki wakati nchi yetu ina mfumo wa vyama vingi vya siasa
 
Back
Top Bottom