Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Katika shindano la "stories of change 2024" lililohusu maandiko yanayoelezea "Tanzania tuitakayo" nilisema ni vyema kuwe na utaribu wa kuhakiki wale wanaoandikishwa kupiga kura sio tunaandikisha kienyeji yani ukifika unataja tu majina kisha unarudi nyumbani kuna weza kupenyeza watu wasio na sifa kujiandikisha kupiga kura cha kushangaza sikusikilizwa.
Mimi nili yaona haya kabla hata ya mchakato wa uandikishaji wa wapiga kuanza kwamba katika utaratibu uliopo ni hatari kiasi kwamba mtu anaweza hata kujiandikisha asiye na sifa za kupiga kura au sio mtanzania au hata mtu anaweza kujaza watu hewa, hali inayoweza kufanya kusiwepo na uchaguzi bali ni maigizo na mapicha picha.
Nilishauri watu waende kujiandikisha angalau na vitambulisho vya taifa, au vitambulisho vyovyote halali vinavyo kubalika ili watu wahakikiwe hii itapelekea wale wasio na sifa wasiandikishwe mfano wanafunzi.
Leo hii kiongozi wa chadema kashauri wazo kama langu lakini tumesha chelewa kwa kifupi muda ushaisha, laiti wazo langu lingechukuliwa kwa umakini haya yote yasingetokea hivi leo kwamba ujumbe ungefika mbali lakini nilipuuziwa na kuwekwa pembeni kwenye shindano hilo.
Pia soma: John Mrema: Watoto wanaotaka kujiandikisha waende na cheti cha kuzaliwa
Soma andiko hilo hapa kwenye jukwaa la stories of change 2024
👇
Post in thread 'Katika kilele kuelekea uchaguzi 2024/2025 tuboreshe utaribu wa uandikishaji wa wapiga kura ulenge watu wenye sifa tu kwa kuzingatia sheria zilizopo'
SoC04 - Katika kilele kuelekea uchaguzi 2024/2025 tuboreshe utaribu wa uandikishaji wa wapiga kura ulenge watu wenye sifa tu kwa kuzingatia sheria zilizopo