chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nadhani katika wanasiasa wenye maksi zote katika siasa za Tanzania, ni mzee Kinana, kamaliza yote, na bila shaka CCM itamuandalia sherehe kubwa za kumuaga akienda kupumzika na wajukuu.
Ni nguli wa kisiasa ambaye sijui ni nani ataandika hotuba ya kusherekea maisha yake katika utumishi wa umma.
Amekuwa kampeni meneja wa maraisi zaidi ya watatu, na mengine mengi aliyofanya.
Tunajivunia kuwa na mtanzania wa kiwango chake.
Pia soma