Mkuu tuelimishe tu tujue na kwakua nao wanashkadau wenzao wanapita itasaidia kupanua mawazo yao wapi wanakosea....just think hard mamito!& the product of your thinking will be no better than the quality of your INFORMATION!
....ukitaka nikuuzie info za tatizo.,"elfu 20 ndogo,toa 3500!"
Kwangu kilichonisukuma kulileta jambo hili hapa,ni baada ya kukutana na mchekeshaji mmoja Dodoma akiwa anauza CD mwenyewe nikajiuliza huyu nae si Mbongo movie mbona bongo movie hata hao machipukizi hawauzi kanda zao mikononi hivi,au hawa hawana nafasi katika tasnia hii,na kama wanayo mbona hawafiki mbali kulingana na wayatendayo.JE ukiachilia mbali tatizo la usambazaji nilijualo lingine lipi linalosababisha wafeli?Nafahamu humu kuna wadau mbalimbali.Hebu shauri weye ni mkazo gani unaotakiwa kuwekwa kwa hiyo tasnia ili wafike mbali kulingana na vipaji vyao?