Muokota Makopo
Member
- Jan 9, 2020
- 54
- 95
Katika uchaguzi wa mwaka huu mwezi October angalia mgombea mwenye sifa zifuatazo:
1. Ataliweka taifa kuwa la amani, akamate wote wasiojulikana walioua, poteza na kuumiza watanzania wenzetu
Wanaokamatwa kesi zao zisikilizwe na kumalizika ili haki ipatikane
2. Atakayeteua watu weledi wenye hekima ktk nafasi hasa za RC na DC ili waongoze umma sio wanakaa ofisi za umma ila wanakitumikia chama cha siasa.
3. Atakayeheshimu katiba na sheria za nchi bila kuvunja sheria na kuendesha nchi kwa matamko na kauli zake.
4. Atakayeheshimu mihimili mingine na kuiacha iwe huru na kufanya kazi bila kuingiliwa.
5. Atakayeye kuwa na hekima anavyotoa hotuba popote, asitukane watendaji hadharani au kuwasema watu vibaya akati wapo katika matatizo.
6. Atakayependa na kuheshimu siasa safi na uhuru wa kujieleza na kuchagua kwa maana ndo msingi wa maendeleo
7. Ambaye hatakua mbaguzi wa kisiasa, mwenye kuona watanzania wote ni wake na wote wana haki sawa
8. Atakayekua mpenda kukosolewa na kuheshimu maoni ya wengine, kwamba yeye hawezi kuona kila kitu, hivyo ambaye atasikiliza zaidi kuliko kuongea zaidi.
9. Atakayeheshimu matumizi ya kodi za wananchi kwa kuruhusu wananchi (bunge) wazipangie cha kufanya sio mtu mmoja kuamua nini pesa zetu zifanye
10. Atakayekua si mbinafsi kupendelea kwake/kwao
The Presidaa!!!!