Petro Masunga
Member
- May 5, 2023
- 7
- 7
nchi yetu, itakuwa na vijana wenye kujikimu kimaisha iwapo tu tutajitambua kwamba sisi ndiyo wajenzi wa nchi. tukijua kwamba sisi ndiyo wategemewa wa kesho, fursa zilizopo katika jamii yetu ni nyingi mno. za kutosha kujipatia kipato. kijana aliye jitambua hachagui kazi eti amesomea nini, bali huwa tayari kwa fursa zilizopo ajapo kosa ajira, lakini atakuwa tayari kujipatia kipato kwa fursa zinazo mzunguka. hivyo naomba kwa wote tupunguze lawama, na tuwe tayari kwa kuijenga nchi yetu, kazi zipo. hata kama ajira hazipo. walakini kazi zipo nyingi tu, vijana ni nguvu kazi ya taifa, tuamke sote tukaijenge nchi yetu!
Asante
Asante
Upvote
2