sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Na wote tunashuhudia kwa jinsi internet inavyozidi kuwa sehemu kubwa ya maisha yetu, Dunia ya sasa Internet ni hitaji moja wapo muhimu katika kuondoa ujinga, kurahisisha mawasiliano, kufanya tafiti, kufanya biashara, n.k.
Ni muda sasa umepita ishu ya internet ya Elon Musk kuletwa bongo haizungumziwi tena na ni dalili ya wazi hatuwezi kunufaika na huduma hii, Elon yupo bize hanaga mambo ya kubembeleza.
Speed ya internet ya Elon ni mara 10 ya internet zetu hizi za mitandao ya simu
Internet ya Elon inatumia sattelite kama dstv na azam, inaweza kupatikana hata kwenye ambonde, milima na nyikani.
Internet ya Elon ingeweza kufanya iwe rahisi kufanya E - Tourism, yaani utalii wa kidijitali mtu ana stream live serengeti.
Internet ya Elon kwa speed yake ni cheap, anachaji kulingana na uchumi wa nchi, kwa hapa kwetu ingekuwa kama elf 70 tu kwa mwezi.
====
Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania