SoC02 Katika usimamizi wa misitu kuwe na uwajibaki wa majukumu husika ili kutekeleza wajibu kwa kufuata utaratibu wa sheria na malengo

Stories of Change - 2022 Competition

SIMBA - X

Member
Joined
Aug 8, 2022
Posts
25
Reaction score
12
Utangulizi
Misitu kwa maana fupi ni mimea au uoto wa asili. Misitu ni muhimu, inachangia kuboresha maisha ya watu na uwepo wa viumbe hai. Tanzania inakadiriwa kuwa na hekta milioni 48.1 za misitu sawa na wastani wa asilimia 51% ya eneo lote la nchi kavu. Kulingana na tathmini iliyofanywa na wizara ya maliasili na utalii. "www.maliasili.go.tz" (tovuti kuu ya maliasili na utalii).

Mamlaka ya usimamizi wa misitu, Tanzania Forest Service (TFS) ilianzishwa mwaka 2010 na kuzinduliwa rasmi mwaka 2011. Lengo ni kwa madhumuni ya kuhakikisha uwepo wa usimamizi madhubuti wenye ufanisi na tija wa rasilimali za misitu ya watanzania. "www.tfs.go.tz" (tovuti kuu ya TFS).

Baadhi ya majukumu makuu yaliyoainishwa kwenye mamlaka ya misitu ni kuanzisha na kusimamia misitu ya hifadhi, kuanzisha na kusimamia mashamba na miti, kusimamia utekelezaji wa upandaji miti na sheria za misitu.(Nukuu kutoka mamlaka ya misitu TFS).

Ndani ya andiko hili, nitazungumzia kuhusu utekelezaji na uwajibikaji wa majukumu makuu niliyo taja hapo juu, kama yalivyoainishwa na serikali kupitia mamlaka ya misitu (TFS), kwenye kusimamia rasilimali za misitu ya watanzania.

Katika nchi yetu, ni wazi Kila majira ya kiangazi kuna matukio ya uchomaji moto misitu na mapori yanayo sababisha hasara kubwa kwa Watanzania. uchomaji moto na ukataji ovyo wa misitu katika maeneo yalio hifadhiwa kisheria kumesababisha athari za kimazingira kwa wanyamapori na binadamu. Ni wazi Mazingira ya mtanzania yamezidi kuwa duni ni kwasababu hakuna uwajibikaji wa majukumu kutoka mamlaka husika.

Katika kuanzisha na kusimamia misitu ya hifadhi, hakuna uwajibikaji mfano Mnamo March 2022, waziri wa maliasili na utalii Dkt pindi chana, alitoa takwimu zilizo onyesha uharibifu wa misitu ya hifadhi umeongezeka hadi kiasi cha hekta 469, 420 sawa na kukata misitu zaidi ya hekta 1,000 kwa siku. Kupitia takwimu hizi zinaonyesha kuna pengo kubwa katika uwajibikaji.

Mfano mwengine mdogo ni upungufu wa idadi ya wanyamapori wa hifadhi ambao kwa kiwango kikubwa wanategemea misitu kama makazi yao ya kudumu, kutokana na utekelezaji mbovu katika kusimamia misitu ya hifadhi kumechangia kwa kiasi kikubwa wanyamapori kupungua. (Rejea ripoti ya TAWIRI 2021).

Katika kuanzisha na kusimamia mashamba na miti, hali imekuwa mbaya Kwa mfano mnamo Aprili 2022, mamlaka ya usimamizi wa misitu, tanzania forest service agency (TFS) ilifanya uharibifu mkubwa wa ukataji wa miti, alafu iliuza miti hiyo iliyo katwa kwenye misitu ya watanzania, yenye thamani ya Tsh bilioni 1.7. uharibifu huu unachochea ongezeko la idadi ya uharibifu wa misitu, ambapo ni kunyume na majukumu ya kusimamia mashamba na miti, ni wazi kwamba utekelezaji huu unasababisha hasara kwa taifa. — Tanzania Forest Services Agency (TFS) (link kutoka mamlaka ya kiserikali TFS).

FB_IMG_16603496509589549.jpg
FB_IMG_16603496392779363.jpg

(Picha kutoka mtandaoni).

Kwa upande wa wananchi hali imekuwa ni mbaya, utupaji na umwagaji ovyo maji ya kemikali kutoka viwandani kwenye mashamba na miti ya wananchi kumefanya maeneo ya mashamba kuwa kama dampo na kusababisha uharibifu wa mazao na miti ya watanzania, ni wazi kwamba hakuna uwajibikaji japo mamlaka husika haija weka hizi habari kwenye ripoti za serikali. (Rejea taarifa ya habari ya uharibifu wa mashamba na miti kata ya marangu kitowo wilaya ya rombo 2022).

Katika kusimamia utekelezaji wa upandaji miti na sheria za misitu, Kwa kupitia mamlaka ya misitu Serikali imeunda programu nyingi zenye lengo madhubuti kwaajili ya upandaji wa miti mfano forestry value chains development programme(FORVAC), private forestry programme (misitu binafsi), programu ya upandaji miti nchi nzima (kuifanya Tanzania kuwa ya kijani).

Programu zote zinalengo la Kuongeza faida za kiuchumi, kijamii na kimazingira katika usimamizi wa misitu na kuimarisha maisha ya jamii kwa ujumla. Lakini kwenye utekelezaji wa sheria kumekuwa ni changamoto ambapo mapato mengi kwaajili ya programu yamekuwa yakikusanywa na kutumika kinyume na utaratibu wa sheria. (Rejea ripoti ya CAG 2021).

Mapendekezo
• Serikali iweke nguvu nyingi kwenye utekelezaji ili kuleta uwajibikaji. Itasaidia sana kuwajibisha viongozi kwenye ngazi mbalimbali ambao wanakwamisha maendeleo kwenye jamii, kwasababu kumekuwa na uvivu mkubwa wa viongozi kwenye taasisi nyingi ndani ya taifa katika utekelezaji. serikali isiwafumbie macho viongozi na mamlaka ambazo hazitekelezi majukumu husika ili kuleta uwajibikaji wenye tija kwa watanzania. Kwa mfano mamlaka ya misitu TFS, imekuwa ikifanya programu nyingi kwenye jamii kwaajili ya kusisitiza kutunza misitu alafu tukiangalia utendaji wake ndiyo inaongoza kwa ukataji wa misitu, pamoja na matumizi mabaya ya pesa za umma. (Rejea ripoti ya CAG).

• Serikali iangalie chanzo kingine cha mapato tofauti na biashara ya miti ili kupunguza idadi ya uharibifu wa misitu. kumekuwa na ukataji ovyo wa miti kwaajili ya biashara ambayo aina faida kwa mtanzani. mfano halisi ni mamlaka ya TFS, imekuwa ikifanya uharibifu wa misitu ili kuuza miti bila mpangilio ambapo inasababisha taifa kuingia hasara. (Rejea ripoti ya TFS 2022). Kwahiyo serikali iangalie chanzo chengine cha mapato kitakacho tunufaisha wote. mfano sekta ya kilimo ni chanzo kizuri cha mapato chenye faida kwa watanzania wote.

• Serikali iwashirikishe wananchi kwenye utekelezaji wa usimamizi wa misitu. Kumekuwa na utendaji mbovu katika usimamizi wa misitu na kupelekea uharibifu mkubwa wa misitu mfano halisi ni umwagaji wa takataka na kemikali za viwandani kwenye maeneo ya misitu na mashamba. Kwahiyo wananchi washirikishwe kwenye masuala ya usimamizi wa misitu kwasababu maeneo mengi ya misitu yapo karibu na makazi ya wananchi, hivyo wananchi washirikishwe kwa ukaribu kwenye programu zote. Lakini pia wasikilizwe changamoto zao zinazo wakabili itasaidia wananchi wote kutumika kwa haki na kwaajili ya kujenga taifa la kesho.

• Serikali itenge bajeti itakayo tekelezwa kwaajili ya upandaji wa miti angalau kwa kila mwezi. Kwasababu uharibifu wa misitu umezidi kuongezeka kwahiyo ili kupunguza idadi ya uharibifu wa misitu serikali itenge bajeti angalau ya kila mwezi kwaajili ya upandaji wa miti nchi nzima. bajeti itasaidia pia mfano kwenye kutoa ajira kwa vijana wa mitaani ambao hawana ajira ili kupunguza ongezeko la makundi ya kijambazi kwa vijana mfano "panya road", na kupunguza uharibifu wa misitu.

Hitimisho
Uharibifu wa misitu, unachochea kushuka kwa uchumi, kwa mfano ongezeko la bei za bidhaa, uhaba wa maji, kupungua kwa wanyamapori, ukosefu wa chakula pamoja na ongezeko la umaskini. Kwahiyo ni vyema taifa tuchukue hatua zilizo sahihi kwenye kufanya mabadiliko ya kimaendeleo na kutunza misitu yetu kwaajili ya uchumi taifa la kesho.
 
Upvote 8
Uwajibikaji kwa kufuata sheria kumekuwa gumzo sana kwa viongozi wetu
Kumekuwa na uwajibikaji mbovu katika kusimamia mali za umma ni vyema kuwe na uwajibikaji utakao fuata sheria zilizo wekwa kwaajili ya manufaa kwa watanzania wote.
 
Utangulizi
Misitu kwa maana fupi ni mimea au uoto wa asili. Misitu ni muhimu, inachangia kuboresha maisha ya watu na uwepo wa viumbe hai. Tanzania inakadiriwa kuwa na hekta milioni 48.1 za misitu sawa na wastani wa asilimia 51% ya eneo lote la nchi kavu. Kulingana na tathmini iliyofanywa na wizara ya maliasili na utalii. "www.maliasili.go.tz" (tovuti kuu ya maliasili na utalii).

Mamlaka ya usimamizi wa misitu, Tanzania Forest Service (TFS) ilianzishwa mwaka 2010 na kuzinduliwa rasmi mwaka 2011. Lengo ni kwa madhumuni ya kuhakikisha uwepo wa usimamizi madhubuti wenye ufanisi na tija wa rasilimali za misitu ya watanzania. "www.tfs.go.tz" (tovuti kuu ya TFS).

Baadhi ya majukumu makuu yaliyoainishwa kwenye mamlaka ya misitu ni kuanzisha na kusimamia misitu ya hifadhi, kuanzisha na kusimamia mashamba na miti, kusimamia utekelezaji wa upandaji miti na sheria za misitu.(Nukuu kutoka mamlaka ya misitu TFS).

Ndani ya andiko hili, nitazungumzia kuhusu utekelezaji na uwajibikaji wa majukumu makuu niliyo taja hapo juu, kama yalivyoainishwa na serikali kupitia mamlaka ya misitu (TFS), kwenye kusimamia rasilimali za misitu ya watanzania.

Katika nchi yetu, ni wazi Kila majira ya kiangazi kuna matukio ya uchomaji moto misitu na mapori yanayo sababisha hasara kubwa kwa watanzania. uchomaji moto na ukataji ovyo wa misitu katika maeneo yalio hifadhiwa kisheria kumesababisha athari za kimazingira kwa wanyamapori na binadamu. Ni wazi Mazingira ya mtanzania yamezidi kuwa duni ni kwasababu hakuna uwajibikaji wa majukumu kutoka mamlaka husika.

Katika kuanzisha na kusimamia misitu ya hifadhi, hakuna uwajibikaji mfano Mnamo March 2022, waziri wa maliasili na utalii Dkt pindi chana, alitoa takwimu zilizo onyesha uharibifu wa misitu ya hifadhi umeongezeka hadi kiasi cha hekta 469, 420 sawa na kukata misitu zaidi ya hekta 1,000 kwa siku. Kupitia takwimu hizi zinaonyesha kuna pengo kubwa katika uwajibikaji.

Mfano mwengine mdogo ni upungufu wa idadi ya wanyamapori wa hifadhi ambao kwa kiwango kikubwa wanategemea misitu kama makazi yao ya kudumu, kutokana na utekelezaji mbovu katika kusimamia misitu ya hifadhi kumechangia kwa kiasi kikubwa wanyamapori kupungua. (Rejea ripoti ya TAWIRI 2021).

Katika kuanzisha na kusimamia mashamba na miti, hali imekuwa mbaya Kwa mfano mnamo Aprili 2022, mamlaka ya usimamizi wa misitu, tanzania forest service agency (TFS) ilifanya uharibifu mkubwa wa ukataji wa miti, alafu iliuza miti hiyo iliyo katwa kwenye misitu ya watanzania, yenye thamani ya Tsh bilioni 1.7. uharibifu huu unachochea ongezeko la idadi ya uharibifu wa misitu, ambapo ni kunyume na majukumu ya kusimamia mashamba na miti, ni wazi kwamba utekelezaji huu unasababisha hasara kwa taifa. — Tanzania Forest Services Agency (TFS) (link kutoka mamlaka ya kiserikali TFS).

View attachment 2323508View attachment 2323509
(Picha kutoka mtandaoni).

Kwa upande wa wananchi hali imekuwa ni mbaya, utupaji na umwagaji ovyo maji ya kemikali kutoka viwandani kwenye mashamba na miti ya wananchi kumefanya maeneo ya mashamba kuwa kama dampo na kusababisha uharibifu wa mazao na miti ya watanzania, ni wazi kwamba hakuna uwajibikaji japo mamlaka husika haija weka hizi habari kwenye ripoti za serikali. (Rejea taarifa ya habari ya uharibifu wa mashamba na miti kata ya marangu kitowo wilaya ya rombo 2022).

Katika kusimamia utekelezaji wa upandaji miti na sheria za misitu, Kwa kupitia mamlaka ya misitu Serikali imeunda programu nyingi zenye lengo madhubuti kwaajili ya upandaji wa miti mfano forestry value chains development programme(FORVAC), private forestry programme (misitu binafsi), programu ya upandaji miti nchi nzima (kuifanya Tanzania kuwa ya kijani).

Programu zote zinalengo la Kuongeza faida za kiuchumi, kijamii na kimazingira katika usimamizi wa misitu na kuimarisha maisha ya jamii kwa ujumla. Lakini kwenye utekelezaji wa sheria kumekuwa ni changamoto ambapo mapato mengi kwaajili ya programu yamekuwa yakikusanywa na kutumika kinyume na utaratibu wa sheria. (Rejea ripoti ya CAG 2021).

Mapendekezo
• Serikali iweke nguvu nyingi kwenye utekelezaji ili kuleta uwajibikaji. Itasaidia sana kuwajibisha viongozi kwenye ngazi mbalimbali ambao wanakwamisha maendeleo kwenye jamii, kwasababu kumekuwa na uvivu mkubwa wa viongozi kwenye taasisi nyingi ndani ya taifa katika utekelezaji. serikali isiwafumbie macho viongozi na mamlaka ambazo hazitekelezi majukumu husika ili kuleta uwajibikaji wenye tija kwa watanzania. Kwa mfano mamlaka ya misitu TFS, imekuwa ikifanya programu nyingi kwenye jamii kwaajili ya kusisitiza kutunza misitu alafu tukiangalia utendaji wake ndiyo inaongoza kwa ukataji wa misitu, pamoja na matumizi mabaya ya pesa za umma. (Rejea ripoti ya CAG).

• Serikali iangalie chanzo chengine cha mapato tofauti na biashara ya miti ili kupunguza idadi ya uharibifu wa misitu. kumekuwa na ukataji ovyo wa miti kwaajili ya biashara ambayo aina faida kwa mtanzani. mfano halisi ni mamlaka ya TFS, imekuwa ikifanya uharibifu wa misitu ili kuuza miti bila mpangilio ambapo inasababisha taifa kuingia hasara. (Rejea ripoti ya TFS 2022). Kwahiyo serikali iangalie chanzo chengine cha mapato kitakacho tunufaisha wote. mfano sekta ya kilimo ni chanzo kizuri cha mapato chenye faida kwa watanzania wote.

• Serikali iwashirikishe wananchi kwenye utekelezaji wa usimamizi wa misitu. Kumekuwa na utendaji mbovu katika usimamizi wa misitu na kupelekea uharibifu mkubwa wa misitu mfano halisi ni umwagaji wa takataka na kemikali za viwandani kwenye maeneo ya misitu na mashamba. Kwahiyo wananchi washirikishwe kwenye masuala ya usimamizi wa misitu kwasababu maeneo mengi ya misitu yapo karibu na makazi ya wananchi, hivyo wananchi washirikishwe kwa ukaribu kwenye programu zote. Lakini pia wasikilizwe changamoto zao zinazo wakabili itasaidia wananchi wote kutumika kwa haki na kwaajili ya kujenga taifa la kesho.

• Serikali itenge bajeti itakayo tekelezwa kwaajili ya upandaji wa miti angalau kwa kila mwezi. Kwasababu uharibifu wa misitu umezidi kuongezeka kwahiyo ili kupunguza idadi ya uharibifu wa misitu serikali itenge bajeti angalau ya kila mwezi kwaajili ya upandaji wa miti nchi nzima. bajeti itasaidia pia mfano kwenye kutoa ajira kwa vijana wa mitaani ambao hawana ajira ili kupunguza ongezeko la makundi ya kijambazi kwa vijana mfano "panya road", na kupunguza uharibifu wa misitu.

Hitimisho
Uharibifu wa misitu, unachochea kushuka kwa uchumi, kwa mfano ongezeko la bei za bidhaa, uhaba wa maji, kupungua kwa wanyamapori, ukosefu wa chakula pamoja na ongezeko la umaskini. Kwahiyo ni vyema taifa tuchukue hatua zilizo sahihi kwenye kufanya mabadiliko ya kimaendeleo na kutunza misitu yetu kwaajili ya uchumi taifa la kesho.
Unaweza kunipigia kura
 
Nakaribisha mijadara
 
Karibuni kunipigia kura
 
Karibu kunipigia kura na maoni
 
Karibuni kwa mijadara
 
Karibuni kusoma chapisho hili na kuchangia michango chanya.
 
Back
Top Bottom