nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Miaka mitatu ilopita nilikua vijijini nilishangaa kuona watu wamewekeza sana mjini wengine wana nyumba huku mjini halaf kule kijijini pesa wanaingiza kutoka mashambani yani mazao.
Kabla sijaanza harakati zangu namimi nikahamia mjini gafla, Leo nimewaza kua sijui nirudie tena japo hata kwa jumamos hivi nikapeleke bidhaa fulani. NB vijiji vya kilolo mkoa wa iringa