katika utumbuaji, natamani kituo kinachofuata kiwe NSSF .

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Wote waliochukizwa na namna iliyotumiwa na NSSF kwenye ajira kwa kuonesha upendeleo wa wazi tunatamani sana kituo kinachofuata katika utumbuaji kiwe NSSF ili kuwe na nidhamu katika ajira za utumishi wa Umma.

Nina imani na Rais wetu Samia Suluhu, ni msikivu na mzingatiaji atasikiliza kilio hiki kinachotia doa Serikali na kuvunja mioyo.
 
Picha linaanza wanasema internal job

Sasa sie wengine tunaitwa external
 
ACHA UCHAWI WAKO
 
Kwani utumbuaji bado upo? Utumbuaji alienda nao kamarade Magufuli, sasa hivi ni enzi za kila mmoja kula kwa urefu wa kamba yake.
 
Maombi yako yatakugeuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…