INAUZWA Katika uwanja huu wa ushindani na ubunifu huliwezi kulikimbia hili

INAUZWA Katika uwanja huu wa ushindani na ubunifu huliwezi kulikimbia hili

hatym

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
513
Reaction score
178
Mabadiliko ya technologia yamefanya ufanyaji kazi wetu wa biashara ubadilike sana,kuna biashara ambazo zimekua kwa kiwango kikubwa kwa muda mfupi,na kuna biashara zimeanguka pia bila matarajio,wakati unabadilika,generation inabadilika,aina ya wateja/soko linabadilika,utamaduni/culture zinabadilika,namna watu wanavyokamilisha mahitaji yao imebadilika,wale wote ambao wameamua kwenda na mabadiliko wameendelea kufanya vizuri,katika karne hii huwezi kuepuka kuweka biashara yako online,usambaaji wa taarifa umekuwa ni mtaji mkubwa sana
Na ukizingatia taarifa ni mtaji mkubwa katika biashara,hivyo usichelewe kwenda na mabadiliko,na kama hujui wapi unaweza kusaidiwa kuyafikia mabadiliko haya na kwenda na mabadiliko ya dunia basi hawa watu wapo kukusaidia

Ni D’MAX TECHNOLOGY,wapo hapa kuhakikisha unapata unachostahili,twende pamoja katika kurudumu hili la mafanikio
-watakutengenezea website yako
-watakufungulia account za biashara katika mitandao ya kijamii kukuweka karibu na wateja zaidi,
-bila kusahau na application katika google play,
-watakupa kila ushauri unaofaa kukusogeza mbele.
Pia wanahusika na system & software mbali mbali,

Kumbuka gharama kwa website ni tsh 300,000 ikihusianisha (hosting na domain)

Hizi ni baadhi ya sample za kazi chache walizofanya
www.dmax.co.tz
www.1stopmarket.co.tz
www.lifehope.co.tz
www.theprimequantum.com
www.progresscentre.co.tz
www.benmassenterprisesltd.com

Unaweza kuwasiliana nao kupitia
‭+255 65 759 8386‬
Info@dmax.co.tz
www.dmax.co.tz
IMG_1115.JPG
IMG_1116.JPG
IMG_1117.JPG
 
Back
Top Bottom