Katika uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu ni 'Kupita Bila Kupingwa' kwenye chaguzi chini ya awamu ya 5

Sitasahau na nitasimulia wapendwa wangu kuwa Mikoa 3 kama sio 4 chama chetu pendwa kilijipitisha bila kupigwa kwenye local gov election 2019, eti vyama vingine wagombea wote kabisa mkoa mzima walikosea?? Hii dhambi wale wote walioiandaa, walioitekeleza, walioinyamazia na kunufaika na tendo hilo la dhuluma akiwemo Waziri husika, Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa uchaguzi, Watendaji wa Kata na wengine hata kama wana madaraka makubwa ya kumfanya lolote yeyote na hatuwezi wafanya lolote, liendelee kuwatesa mioyoni mwao ktk kipindi cha uhai wao, wawarithishe na vizazi vyao. Hatuna la kuwafanya lkn Mungu anajua wao na kizazi chao kitakachowapata.
Yaani sijui wanajisikiaje hadi sasa mioyoni mwao. Bahati mbaya ni kundi kubwa sana lililosimamia dhuluma hii na tunao makanisani na misikiti wakiamini hawakutenda kosa lolote. Mbaya zaidi tumetengeneza kundi la watu wanaoamini wizi huu si dhambi na sio kosa bali ni mbinu.
 
Upuuzi uliofanywa kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu uliopita ulikuwa chukizo kwa Mungu ndiyo maana mwasisi wake hakutoboa, Mungu hadhihakiwi kamwe
 
Upuuzi uliofanywa kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu uliopita ulikuwa chukizo kwa Mungu ndiyo maana mwasisi wake hakutoboa, Mungu hadhihakiwi kamwe
Adhabu ya kifo aliyopewa Jiwe kwakweli kapendelewa.
Yule ilibidi apigwe majipu miaka 3 mfululizo mpaka ashindwe kulala, kukaa na kusimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…