Katika Vitu ambavyo Shujaa Magufuli alikuwa anakosea ni Kuteua Wanasiasa kuwa Watendaji Serikalini!

Katika Vitu ambavyo Shujaa Magufuli alikuwa anakosea ni Kuteua Wanasiasa kuwa Watendaji Serikalini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Teuzi za kisiasa bila kujali taaluma ndio tatizo lililoliangamiza Bara la Africa

Viongozi wa Africa wanawaza Uchaguzi wakati Wote

Ni Lazima tufike mahali Teuzi za kisiasa ziishie kwenye Ajira za Kwenye vyama Vya Siasa na Taasisi zake

Angalia Teuzi za Wakurugenzi wa Halmashauri Hapa Tanzania Kwa mfano, ni makada Watupu hadi Chawa mkuu Dr Mwijaku ameanza kulalamika

Mlale Unono 😀😀

PIA SOMA
 
Back
Top Bottom