J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 9, 2024 #1 Teuzi za kisiasa bila kujali taaluma ndio tatizo lililoliangamiza Bara la Africa Viongozi wa Africa wanawaza Uchaguzi wakati Wote Ni Lazima tufike mahali Teuzi za kisiasa ziishie kwenye Ajira za Kwenye vyama Vya Siasa na Taasisi zake Angalia Teuzi za Wakurugenzi wa Halmashauri Hapa Tanzania Kwa mfano, ni makada Watupu hadi Chawa mkuu Dr Mwijaku ameanza kulalamika Mlale Unono 😀😀 PIA SOMA Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira
Teuzi za kisiasa bila kujali taaluma ndio tatizo lililoliangamiza Bara la Africa Viongozi wa Africa wanawaza Uchaguzi wakati Wote Ni Lazima tufike mahali Teuzi za kisiasa ziishie kwenye Ajira za Kwenye vyama Vya Siasa na Taasisi zake Angalia Teuzi za Wakurugenzi wa Halmashauri Hapa Tanzania Kwa mfano, ni makada Watupu hadi Chawa mkuu Dr Mwijaku ameanza kulalamika Mlale Unono 😀😀 PIA SOMA Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Sep 9, 2024 #2 Magufuri alitukosea sana kwa makamu wake hakusitahili kabisa huyu bibi ushungi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 9, 2024 #3 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,160 Reaction score 5,793 Sep 9, 2024 #4 Beira Boy said: Magufuri alitukosea sana kwa makamu wake hakusitahili kabisa huyu bibi ushungi Click to expand... Oya ume potea sana Vip upo nyasaka ?
Beira Boy said: Magufuri alitukosea sana kwa makamu wake hakusitahili kabisa huyu bibi ushungi Click to expand... Oya ume potea sana Vip upo nyasaka ?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Sep 10, 2024 #5 Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... Yagangwe yajayo! Marehemu hasemwi vibaya
Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... Yagangwe yajayo! Marehemu hasemwi vibaya