Katika wasanii wa kike, Ray C alitisha

Joined
Jul 12, 2017
Posts
84
Reaction score
77
kwa kweli bila kupepesa macho kwa Tanzania msanii wa kike akuwahi kutokea sijaona alofika level za ray-c huyu Dada alikuwa kafiti kila idara alikuwa anajua ukuutumia mwili wake macho kama anakuita kwa kwel salute kwake ,hebu tutupia moja kati ya nyimbo ambazo ulizikubali.
 
Kuna yule mwingine aliimbaga na Juma kakere, alikuwa anaitwa sinta"
 
Uko wapi nikufuate ni wimbo bora kwangu toka kwa huyu binti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…