Pre GE2025 Katikati ya mnyukano wa Chadema itajulikana Kwanini Mnyika hakuishtaki NEC kama ni Kweli Saini yake ilighushiwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Endelezeni kunywa mtori Nyama mtazikuta chini

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema taifa utafichua Siri nyingi sana kama busara haitachukua Nafasi yake

Kuna mambo Mengi yaliachwa kwenye mabano huko nyuma kwa sababu Chama kilikuwa na Wazee kwa maana ya Wazee

Lakini Wazee wa Chadema ya Leo Ndio hawa hawa Akina Kigaila, Mbowe, Lisu na Askofu Mwamakula

Kazi Ipo
 
Nje ya mada kabisa! Yaani unaunganisha mada ambazo hazipo ili iweje?
 
=================
Naungana na Lucas Mwashambwa-CHADEMA ifutwe Usajili wa Chama cha Siasa; Kisajiliwe kuwa Asasi ya Wanaharakati.
 
Endelezeni kunywa mtori Nyama mtazikuta chini

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema taifa utafichua Siri nyingi sana kama busara haitachukua Nafasi yake

Kuna mambo Mengi yaliachwa kwenye mabano huko nyuma kwa sababu Chama kilikuwa na Wazee kwa maana ya Wazee

Lakini Wazee wa Chadema ya Leo Ndio hawa hawa Akina Kigaila, Mbowe, Lisu na Askofu Mwamakula

Kazi Ipo
Mahakama ya wapi? ya Juma? Una kichaa cha CCM
 
Back
Top Bottom