Hello Dada farkhina .. n Mara yNgu ya kwanza kukoment humu but huwa naingia na kuchukua maujuzi ya kupika kimnyakimnya .. sorry for that .. but now ntakuwa active I hope .. nataka kujua tofauti ya aina hizi za pilipili
Pilipili mbogA
Pilipili hoho
Pilipili manga
Pilipili ya kuwasha .. na je uzile ni nini??? Asante