Katoro Geita imeitika Wimbo wa Katiba mpya

Chadema asaiv wanafanyia mkutano kwenye masoko na gulio, wakipeleka mkutano uwanjani hakuna mtu anayetokea!!
 
Chadema asaiv wanafanyia mkutano kwenye masoko na gulio, wakipeleka mkutano uwanjani hakuna mtu anayetokea!!
Siyo kwenye masoko na gulio mpaka milimani lakini Samia jasho linamtoka mpaka kwenye makwapa ya siri!
 
CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania, raia wameichoka CCM
Mambo ya msingi ni CDM kuwa na Uongozi imara, wanaharakati wenye uwezo wa kuchambua mambo na kushawishi jamii, kuwa na waratibu wazuri wa matukio na mipango ya chama
 
ccm wakiona hivi wanatamani CHADEMA ife hata kesho, jambo ambalo haliwezekani hata kidogo. CHADEMA hii ya Lissu na Heche inaaminika na kukubalika kuliko ilivyo kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…