Katulia au siyo?

Huyu anaonekana anamfadhaiko au msongo wa mawazo anahitaji saikolojisti haraka anaweza kujiua
 
Huyu ametulia sana, lakini anahitaji mtu wa kumriwaza!!
 
Kwa wanaomkumba Senema ya Shades of sin huyo kimwana ni Chotara la Kiafrika. Lipo Rio. Ni actress katika sinema za Brazil. Alikuwa main character katika sinema ya Shades of Sin akitumia jina la Preta de Souza . Jina lake halisi anaitwa Taís Araújo. She was born on November 25, 1978 in Rio de Janeiro.
 

By the way zaidi ya nusu ya watu wa Brazil ni machotara.
 
Ni Mrembo huyo Preta wa kwenye Tamthiria ya Shade of Sin
 
Huyu anaonekana anamfadhaiko au msongo wa mawazo anahitaji saikolojisti haraka anaweza kujiua

Kweli mkuu...anahitaji immediate attention ya wataalamu wa saikolojia kabla hiyo ngozi hajabadilika na kuwa kama chatu!
 
Aaaah hawa warembo wanakumbana na mikasa kweelii, tuwahurumie!! hapo unaweza kukuta kaachwa solemba na jamaa, kasubirii weeeeee but no where!!
Tuna unaweza kukuta kagonganisha minjemba kadhaa sasa ameikacha kajificha sehemu anatafakari the way forward.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…