Katuni inaongea

...akili unayo ila mvivu kuitumia
ngoja nikupe maudhui ya hiyo picha....
hapo umegusa imani ya jamii fulani..q..
Wanawake ni zaidi ya wafungwa.q.
Mtoto wa jamii..y.. Anataka kuja kufurahi na mwenzie..q..
Baba mtu..q.. Anaingilia kati bila kujua hiyo ni michezo ya kitoto.(pengine kwa kusukumwa na chuki)
mwisho wa siku jamii .. Y..inawasanifu.....na kupata habari ya kuuza duniani....
 

au pia inaweza kumaanisha jamaa amemuacha mke wake ameenda kuogelea na watu wengine huku wanacheza mpira.

ila katika uisilamu mwanaume pia haruhusiwi kuonesha eneo la juu ya magoti hadi usawa wa kitovu hivyo hapo mwanamke yupo sahihi na mwanaume yupo wrong.
 
Nilichoelewa mm ni kwamba wanawake wa kiisla wanakuwa wapweke na wanabanwa sana na sheria kali za kiislam zinazowabana wao tu huku waume zao ambao ni wabinafsi wakiinjoy maisha kivyao...hii ni tofauti na wanawake wa kimagharibi ambao wao wako free na wanainjoy maisha na waume zao bega kwa bega
 
Wanakandamizwa na sheria za dini

Nyie ma.fa.la kweli mwanamke anakandamizwaje na sheria za kiislam? hivi hamjui uislam ndio dini ya kwanza kumuweka mwanamke huru? kwenda bichi au kukaa uchi mbele za watu ndio mwanamke hajakandamizwa? AKILI NYINGINE BHANA CJUI ZINAINGIAJE JAMII FORUMS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…