Katuni inasema kuhusu mfumuko wa bei

Katuni inasema kuhusu mfumuko wa bei

Monica Mgeni

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
82
Reaction score
134
MTAZAMO wa msanii wa Katuni baada ya Serikali kuingilia kati kudhibiti Mfumuko wa Bei na kupunguza Kodi mbalimbali kuleta unafuu wa maisha kwa wananchi.

Katuni PUNGUZO LA KODI.jpg
 
Huyo Jamaa anakazana kuweka hilo jiwe au ndio kalitoa hapo?.
 
Sifa ya Katuni ni kutokuwa na mambo mengi! Kwa ufupi hii Katuni ni ya kijinga na haieleweki kwa urahisi!
 
Huenda kwa Mda Mfupi Rais Samia ndio akawa Rais aliechorwa mara nyingi kuelezea shida za utawala wake na ndio Mwaka Mmoja wa Mama tusubiri hio mingine.
 
Huenda kwa Mda Mfupi Rais Samia ndio akawa Rais aliechorwa mara nyingi kuelezea shida za utawala wake na ndio Mwaka Mmoja wa Mama tusubiri hio mingine.
Yaani mambo yanavyoenda, nilishasahau kuwa ndo miezi 13 tu! Naona kama mateso yatakuwa ni ya muda mrefu mno!
 
Mchora katuni anamaanisha kodi zikitolewa kwenye vitu vilivyopanda bei,bei itashuka
 
Back
Top Bottom